The young men and women who make the Bible their guide need not
-
Wahudumu wa Kambi la Busegwe 2020
Pr. PHILEMON MACHUGU(Mhutubu mkuu), Pr. CHARLES KITANITA, Pr. PAUL MALINDI Na Mwinjilisti PAUL OUMA. Kwa watoto walihudumiwa na Madam Consolata (Buhemba) na Maria Chacha(Mama Pasta Chacha)
-
Kanisa letu
BUSEGWE SECONDARY SDA CHURCH
-
Huduma za kanisa
Washiriki wakisikiliza Neno la Mungu
-
Huduma za uimbaji
MUHUBIRI ADVENTISTS CHOIR (Kwaya ya kanisa)
Daily Devotional - True Learners Accept the Scriptures as God's Voice
The young men and women who make the Bible their guide need not
VERSE OF THE DAY - August 25, 2020
1 Wakorintho 16:13-14
13 Kesheni, simameni imara katika Imani, fanyeni kiume, mkawe hodari.
14 Mambo yenu yote na yatendeke katika upendoDAILY DEVOTIONAL - Search the Scriptures, and Be Obedient
Anyone who resolves to do the will of God will know whether the teaching is from God or whether I am speaking on my own. John 7:17, NRSV.
Those who humbly and prayerfully search the Scriptures, to know and to do God's
VERSE OF THE DAY - 24 August 2020
Colossians 3:12 CEV
God loves you and has chosen you as his own special people. So be gentle, kind, humble, meek, and patientAFYA YETU - FAHAMU SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (Cervical Cancer)
Saratani ya shingo ya kizazi (Cervical Cancer) ni saratani inayoanzia kwenye shingo ya kizazi (Cervix). Husababishwa na ukuaji usio wa kawaida wa seli ambazo zina uwezo wa kuvamia na kuenea sehemu mbalimbali za mwili.
DALILI: (SIGNS & SYMPTOMS)
- Kutokwa na damu isiyo kawaida sehemu za siri (Ndani au nje ya mzunguko wa mwezi),
- Maumivu ya nyonga,
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa na kutokwa damu baada ya tendo la ndoa
Pia virusi aina ya Human papillomavirus infection (HPV) huchangia asilimia 90 ya tatizo hili japokuwa si wote wenye virusi hivi hupata maambukizi hayo.
Sababu zingine za hatari ni pamoja na:
- Uvutaji wa sigara,
- Udhaifu wa kinga ya mwili (Immuno-comprimised patients)
- Utumiaji wa vidonge vya uzazi wa mpango,
- Kuanza ngono katika umri mdogo
- Kuwa na wapenzi wengi wa ngono.
- Kujifungua (Ujauzito) zaidi ya mara saba
UTAMBUZI (DIAGNOSIS)
- Hufanywa kwa uchunguzi (cervical screening) kufuatiwa na biopsy.
- Kipimo cha picha (Medical imaging) hufanyika kutambua kiasi cha ueneaji wa saratani hiyo.
KINGA (PREVENTION)
- Chanjo aina ya HPV vaccines zinalinda dhidi ya aina mbili hadi saba za famililia ya HPV na kuweza kuzuia kiasi cha asilimia 90 ya maambukizi yake.
- Kama hatari za saratani bado zipo, miongozo inapendekeza kufanya vipimo vya Pap tests.
- Njia nyingine za kujikinga hujumuisha kutokuwa na wenzi wengi au kuacha kabisa.
- Tumia vyakula vya Vitamini (A, B12, C, E) na vyenye beta-Carotene
MATIBABU
Inaweza kutibiwa kwa upasuaji, chemotherapy, na mionzi (radiation therapy).
Nb: Wahi kituo cha afya mara utapojiskia una dalili tajwa hapo juu.
Article by: Dr. Omar Ally +255746563122
VERSE OF THE DAY - August 19, 2020
But if we walk in the light, as he is in the light, we have fellowship one with another, and the blood of Jesus Christ his Son cleanseth us from all sin.
VERSE OF THE DAY - August 17, 2020
James 1:2-3 KJV
My brethren, count it all joy when ye fall into divers temptations; Knowing this, that the trying of your faith worketh patience.