But he was wounded for our transgressions, he was bruised for our
iniquities: the chastisement of our peace was upon him; and with his
stripes we are healed.
Tunapokea wanafunzi Kidato cha kwanza hadi cha nne mwaka 2021 kuanzia tarehe 7 Januari.
Pia nafasi za wahamiaji kidato cha tano zipo!
NYOTE MNAKARIBISHWA Mawasiliano: +255759346439 (Mkuu wa Shule) +255745114360 (Mhazini)
Support
Kanisa letu ni kanisa la shule ya sekondari ya wasichana Busegwe, katika jimbo la Mara. Shule hii ina uhitaji mkubwa wa kifedha kwa ajili ya maendeleo. Hivyo, kwa unyenyekevu, tunasihi sapoti yako ilikuweza kuiendeleza na kufanikisha programu mbalimbali ikiwemo uinjilisti.
Wasiliana nasi kwa mawasiliano yaliyo tolewa hapo chini au bofya HAPA
No comments:
Post a Comment