
NATAMANI ni wimbo wa dini kutoka *MHUBIRI ADVENTISTS CHOIR* (Kwaya ya kanisa la Wasabato la Busegwe sekondari) wenye maudhui ya kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji.Mtunzi ni Mwl. Emmanuel Wandiba, Guitar by Pr. Chacha Y. MarwaWaimbaji :SOLO Verse 1 - MASATU KAYORASOLO Verse 2 - IRENE SAMWEL *Sauti ya kwanza* - IRENE SAMWEL,...